h
![]() |
Hii ndiyo safari ya mwisho ya mpendwa wetu marehemu Steve Kanumba ilipo ishia na hapa ni makaburi ya kinondoni Jijini Dar es Salaam leo. |
![]() |
Hapa mwili wa marehemu ukifika makaburini ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam. |
![]() |
Mwili wa marehemu Steve Kanumba ukihifadhiwa ndani ya nyumba ya milele makaburi ya Kinondoni Jijini Dar es salaam. |
![]() |
Mwili wa marehemu Steve Kanumba ukiwasili uwanjani kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho. |
![]() |
Jamani Kanumba Stive Kanumba alikuwa kipenzi cha watu dah watu walifurika ujapata ona, Hawa ni baadhi ya watu na viongozi wa serikali. |
![]() |
Baadhi ya viongozi wakiaga mwili wa marehemu leo Jijini Dar es Salaam. |
![]() |
Mama wa marehemu Steve Kanumba akiwasili makabuli ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam. |
No comments:
Post a Comment