![]() |
Kikosi maalumu cha msalaba mwekundu kiki mchukuwa mmoja wa mtu aliye poteza fahamu baada ya mwili kuwasili uwanjani. |
![]() |
Huyu naye ni mmoja wa mashabiki wakubwa wa marehemu Steve Kanumba akipelekwa kupewa huduma ya kwanza. |
![]() |
Mdogo wake na marehemu Steve Kanumba akiwasili uwanjani hapo. |
No comments:
Post a Comment