Katibu tawala mpya wa mbeya Bi. Mariam Mtunguja akila kiapo mbele ya rais Kikwete leo jijini Dar es salaam. Rais amewaapisha pia makatibu tawala wa mikoa ifatayo. Morogoro, Ruvuma, Katavi,Kilimanjaro, Geita pamoja na Shinyanga. (picha na FREDDY MARO). |
No comments:
Post a Comment