NCCR YAMTEUA MWL PERPETUA KUWA MGOMBEA WA UBUNGE WA AFRIKA MASHARIKI.
Mwl Nderakindo perpetua Kessy (wa kwanza kulia) akimkabidhi fomu ya ukombea wakiti hicho.
Akiongea na waandishi wa habari, makao makuu ya chama hicho Bwana Samweli odeko ambae ni kamishina wa NCCR Mageuz mkoa wa Dar es salaam.
Amesema "umoja wa wanawake wa chama umeamua kumteuwa mwl perpetua kuwa mgombea wa nafasi hiyo kwani anao uzoefu wa uongozi na anasifa zinazostahiki".
Mwl Nderakindo perpetua Kessy akionnge na waandishi wa habari leo makao makuu ya NCCR Ilala jijini Dar es salaam.
Mwl Nderakindo perpetua Kessy akionnge na waandishi wa habari leo makao makuu ya NCCR Ilala jijini Dar es salaam.
umoja wa wanawake wa NCCR dar es salaam.
www
No comments:
Post a Comment