Saturday, March 24, 2012

Hii ndo hali halisi ya soko la Buguruni Ilala jijini Dar es salaam.

uchafu wa kila aina ulivyo zagaa ovyo ndani ya soko hilola Buguruni jijini Dar es salaam.
Baadhi ya wafanya biashara wakiwa wamekaa wakisubili wateta ja, wakati matunda yakiwa chini.

No comments:

Post a Comment